Naombeni ushauri juu ya nini asomee

stable

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
304
439
Wakuu. Naamini hapa ni sehemu pekee ambapo kunawataalamu wengi Sana na uzoefu mbalimbali.

Wakuu nimekuja kuombwa ushauri ambao binafsi sikuweza kutoa jibu pengine kutokana na uzoefu mdogo au pia exposure.

Mdogo wangu anafanya kazi serikalin (halmashuri) kama afisa manunuzi na amepata nafasi ya kussomeshwa na halmashauri. Pia huyu dogo Ana degree pamoja na cheti cha utalaamu wa manunuzi toka bodi (CPSP)

Akawa na lengo akachukue masters ya finance.
Ndugu mnisaidie ipi ni bora said kwa future kam atachukua finance au asome hiyo hiyo manunuzi
Masters ipi itamfanya awe na uwanja mkubwa hata ktk application za kazi mbalimbali au hata kupandishwa cheo

Naombeni michango yenu iwe ya kujenga na ssi kudhihaki mawazo ya wachangiaji au ya mtoa mada.
 
Back
Top Bottom