Sipendi kusikia kuhusu ajira za walimu

jamiha

Member
Mar 26, 2014
80
44
Habari wana jamvi
Kwamara ya kwanza nimeamua kuleta Uzi huu kwenu...jamani inachosha Mimi Binafsi sipendi kusikia kuhusu ajira za ualim mwaka huu. Nina Inani na wengine wengi wanaosubili kama Mimi hawapendi....OMBI LANGU magaz eti na wanasiasa mkae kimya msitafute majina na umaarufu kwa kupitia ajira za walim mnatuumiza mioyo Sie wahanga...Nahisi nimeeleweka.
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana, yaani unataka magazeti yasiandike habari za ajira ya ualimu? waandike nini sasa? sukari, tumbua na bunge live pekeake ?
Halafu kwanini uumie moyo wakati kimsingi ukisomea ualimu tu maana yake umeshaajiriwa ila "kupangiwa kituo cha kazi" ndio mnasubiri. Na hao wanasiasa unaosema wasitafute umaarufu kupitia ajira za ualimu, hujui ndio waajiri wako hao? Yaani wasikujadili kwamba hautakiwi kukataa kwenda kufundisha MAENEO YENYE UPUNGUFU? Ndugu mwalimu jifunze kuwa mstahimilivu vinginevyo karibu maktaba kuu ya taifa ushuhudie ni jinsi gani tatizo la ajira lilivyokua ni kubwa sio unalia kwa kucheleweshewa kuonyeshwa sehemu ya kufundisha. shikamoo mwalimu!
 
Wewe acha kaa kimya tuu...Ivi nikuulize umeshawi kusubiri...kitu? Then kila Mara unasikiasikia porojo Tuu...Mara tarehe Fulani na ikifika hiyo tar wapigwa karenda tenaa..ndo maana nimesema sipendi porojo zao wakae kimya mpaka zitakapotoka hata ikichukua miaka....sijui umenielewa au nibadishe mfumo wa maandishi
 
alafu wanatoa kauli tofauti tofauti...simbachawene yakwake...jaffo yakwake...majaliwa yakwake...utazani wanaendesha serikali tofauti...shikamooo wanasiasa
Yaani ni baraaa...Afu kwa kufanya ivo wanatuharibia hata tension ya plan zetu zingine coz ukitaka kufanya jambo fulani unakutana na taarifa kwamba ajira zinatoka tar fulani...ukicheki ule mpango ulikua ni longterm unaghairi....kwahiyo wahusika msituharibie mipango Yetu kaeni kimyaaa mpaka zitakapotoka.
 
Habari wana jamvi
Kwamara ya kwanza nimeamua kuleta Uzi huu kwenu...jamani inachosha Mimi Binafsi sipendi kusikia kuhusu ajira za ualim mwaka huu. Nina Inani na wengine wengi wanaosubili kama Mimi hawapendi....OMBI LANGU magaz eti na wanasiasa mkae kimya msitafute majina na umaarufu kwa kupitia ajira za walim mnatuumiza mioyo Sie wahanga...Nahisi nimeeleweka.
Saikolojia yako ndiyo ulaji wa mwandishi. Kwa maandishi yako tayari kuna mwandishi ameshaingiza hela. Si kila takataka ni taka itategemea ni wapi na kwanini iwe hvyo. Kwako takataka kwa wengine kipato.
 
Kwahiyo unamaanisha nilichokiandika ni takataka au....sijakuelewa hebu tumia lugha rahisi nikuelewe kwanza then ntakuelewesha nawe pia.....coz you can be imperfect in your perfection.
 
Sijasema ulichoandika ni taka. Ok ngoja nitumie mfano mwingine..kisichotumika kwako kwa mwingine ndiyo mali
 
Aaaah umeeleweka na huo ndo ukweli magazeti unakuta kichwa cha habari kikubwaa SERIKALI YATANGAZA AJIRA 35 WALIM...ili ununue gazeti ukishaenda ndani unakutana na vitu vingine tuu.
 
Title na content haviendani hata kidogo. Nadhani haya magazeti yanatafuta wateja kwa nguvu na walimu ndo wamekuwa dili sasa kweny vichwa vya habar ktk magaxeti yao.

Wahariri wawe makini na matumizi sahihi ya lugha.
358f3ebc15b318a91880bfacd86ef07c.jpg
 
Wewe acha kaa kimya tuu...Ivi nikuulize umeshawi kusubiri...kitu? Then kila Mara unasikiasikia porojo Tuu...Mara tarehe Fulani na ikifika hiyo tar wapigwa karenda tenaa..ndo maana nimesema sipendi porojo zao wakae kimya mpaka zitakapotoka hata ikichukua miaka....sijui umenielewa au nibadishe mfumo wa maandishi

Acha uoga we mwalimu, jifunze uvumilivu. Nina mwaka wa tatu huu nasubiri ajira na sijalia lia kwenye mitandao. Sijui unasema wakae kimya ukiwa kama nani?, una mamlaka gani? Tuanzie hapo.
 
Nahisi hujaelewa hata post kwani umeona nalilia ajira....Na ni nasema wakae kimya nikiwa kama Mwalim.
 
Title na content haviendani hata kidogo. Nadhani haya magazeti yanatafuta wateja kwa nguvu na walimu ndo wamekuwa dili sasa kweny vichwa vya habar ktk magaxeti yao.

Wahariri wawe makini na matumizi sahihi ya lugha.
358f3ebc15b318a91880bfacd86ef07c.jpg
Mwl. Unaakili sana wewe...umeelewa nini nilikimaanisha
 
Nahisi hujaelewa hata post kwani umeona nalilia ajira....Na ni nasema wakae kimya nikiwa kama Mwalim.

Basi wewe ndio huelewi unachokilalamikia, kama umekana kama wewe sio mwalim mtarajiwa, soma vizuri post yako mkuu.
 
Back
Top Bottom