Mimi ni kijana mwenye miaka 24 na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA baada ya kumaliza mchepuo wa PCB A level lakini ninawish kusoma kitu kingine ambacho nafikiri nakipenda na ni medical laboratory, na mawazo yangu nisome diploma kwenye hivi vyuo vya serikali kama DIT, MUST au ATC.
Hivyo basi naomba ushauri wenu lakini pia naomba mwongozo je ninaweza pata nafasi kwenye hivyo vyuo,lakini pia mimi nilikua loan beneficiary je loan hawatanisumbua. Degree nimemaliza 2015.
Naombeni ushauri please