Baptist, Wale Tulosoma Baptist Sekondari Magomeni Usalama Pitia Hapa

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
2,370
2,000
Mnaalikwa Wote Kufika Pale Shuleni Kumuona Makamu Mkuu Wa Shule Mwalimu Ambrose Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Jumuia Ya Watu Wote Tulosoma Au Kufanya Kazi Hapo Baptist Sekondari School, Mkutano Huo Unatarajiwa Kufanyika Hv Karibuni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom