Naombeni Ushauri Nisome Course Gani Kati ya Hizi.

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Wakuu habari

Mwaka huu nataka kurudi shule kidog ila nimekubwa na Mfadhaiko kidog kutokana na vitu ninavyotaka nataka kusomea corse mojawapo kati ya hizi

1. ORDINARY DIPLOMA IN HORTICULTURE inayotelewa Tengeru Hortii

2. Diploma in Animal Health and Production - DAHP inatolewa Lita Tengeru

Pia Nikitaka Kusoma Diploma ya Hizi Course nikiwa natumia cheti cha Olevel lazima nijiunge na Cert au najiunga na Diploma moja kwa zote alafu nasoma 3yrs????

Naombeni kujuzwa Course Ip Nzuri na Inalipa nikiwa na Maana ya Upatikanaji wa Ajira.Nina Vigezo vya kusoma Course yeyote Hapo Juu.

Asante
 
Kama ufaulu wako ulikuwa wa kuridhisha,basi utapiga miaka mitatu diploma. Kama hayakuwa mazuri,utaanzia kwanza cheti kupigwa msasa ili uwe na sifa za kujiunga diploma na baadae kuendelea.

Animal science inalipa Sana (kazi zake za kujitafutia,lakini hazikosekani) lakini nakushauri zaidi ambayo moyo wako unakuwa na ahueni ukisoma.
 
Kwa cheti cha fomu four lazima usome certificate kwanza the diploma utaisoma one year welcome
 
mkuu nilipata Three ya 23 mkuu...
 
Kwa cheti cha fomu four lazima usome certificate kwanza the diploma utaisoma one year welcome

sawa mkuu hivyo kutakuwa na kuapply mara ya pili tena??pia wew uko kwenye hii fan??
 
Wakuu habari

Mwaka huu nataka kurudi shule kidog ila nimekubwa na Mfadhaiko kidog kutokana na vitu ninavyotaka nataka kusomea corse mojawapo kati ya hizi

1. ORDINARY DIPLOMA IN HORTICULTURE inayotelewa Tengeru Hortii

2. Diploma in Animal Health and Production - DAHP inatolewa Lita Tengeru

Pia Nikitaka Kusoma Diploma ya Hizi Course nikiwa natumia cheti cha Olevel lazima nijiunge na Cert au najiunga na Diploma moja kwa zote alafu nasoma 3yrs????

Naombeni kujuzwa Course Ip Nzuri na Inalipa nikiwa na Maana ya Upatikanaji wa Ajira.Nina Vigezo vya kusoma Course yeyote Hapo Juu.

Asante

Mi nakushauri usichague koz ya kusoma kwa kutabili soko la ajira maana ni vigumu kutabili soko la ajira la sasa baada ya miaka mitatu ama zaidi ijayo ni sawa na kupiga ramli, vijana wengi tunafeli hapo!

Nakushauri jielekeze kwanza ktk kupata maarifa na baadaye utumie maarifa hayo kufanya chochote utakachokimudu baada ya masomo yako hasa ujasiliamali na vingine

Kila la heri
 
Sawa Mkuu Nashukuru sana Boss
 
Back
Top Bottom