Hawa NACTE wanaibia watu au nini hiki?

mm1

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
569
170
Kupitia CAS ya NACTE deadline applications za degree mwisho mei 31 mwezi huu,ukianza kuaply katka ile hatua ya kuchagua chuo, list ya vyuo vikuu haiji.Hata taarifa ya mabadiliko yoyote hawajatoa kwenye web yao.Tatzo ni nini? ama mpango umepangwa kuwaibia watu hela? mwenye ufahamu anijuze
 
Labda nikusaidie mkuu! Kuna bango waliweka kwenye tovuti yao, wakasema kwa wale wa kuanzia advance diploma kushuka chini muda ndio huu ila kwa wanaotaka kuomba degree waombe kwa vyuo ambavyo tayari viko kwenye list vinavyotambuliwa na NACTE, ila kwa vyuo viingine vitawekwa muda si mrefu kwa udahili wa pamoja naTCU ikiwa bado wanasubiri kidato cha sita nao wamalize. Isikuumize kichwa wataextend muda maana hata Guide book ya pamoja bado hawajaiweka.
 
Nacte bado hawajaanza udahili wa vyuo vikuuu mpaka TCU waanze kwa system ya mwaka huu
 
Was worried myself, this puts back my hopes together.

Oyi vipi?.je wale ambao wanasoma vyuo vikuu waliochaguliwa na NACTE na wao watatolewa vyuoni kama anavyosema ndalichalo?hata kama una ufaulu wa four o-level passes(D's and above)?au inakuaje hapo?
 
Mhhh tusubiri, maana wanatumbua balaa
 
Labda nikusaidie mkuu! Kuna bango waliweka kwenye tovuti yao, wakasema kwa wale wa kuanzia advance diploma kushuka chini muda ndio huu ila kwa wanaotaka kuomba degree waombe kwa vyuo ambavyo tayari viko kwenye list vinavyotambuliwa na NACTE, ila kwa vyuo viingine vitawekwa muda si mrefu kwa udahili wa pamoja naTCU ikiwa bado wanasubiri kidato cha sita nao wamalize. Isikuumize kichwa wataextend muda maana hata Guide book ya pamoja bado hawajaiweka.

MAHANJU, naomba unifahamishe kama unafahamu! Mimi ni holder wa diploma in nursing katika kujisajili kupitia nacte nimefikia kipengele cha kuchagua chuo na programmes hakuna vyuo vya afya wala bachelor degree za afya hii imekaaje na deadline ni kesho? Au imekula kwangu?
 
Back
Top Bottom