Msaada ku kuomba scholarship waliosoma law open university of Tanzania

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
Habari za leo ndugu,
kuna ndugu yangu alimaliza bachelor ya law open university of tanzania yupo kijijini kaniomba nimuangalizie mkopo kaniambia almost wote wanapewa na wanakua favoured hasa wale waliosoma palepale open university.
plz naomba nisaidie hili nipe link au niambie ni site gani wa apply nimsaidie ndugu yangu ili asome post graduate yake ye mwenyewe hajanieleza vizuri i hope mtanisaidia katika hili nisipoteze mda.
natanguliza shukrani.

updates
inaitolewa na wajerumani kwa levo za master na phd
tembelea www.tgcl.com/scholarship uapply ni kwa wanafunzi wa law tuu east african tanzania, kenya, uganda, rwanda na burundi
 
Sijakuelewa unataka nini. Acha porojo lenga point unataka mkopo wanini? Kama ni kulipia masomo ya postgraduate haupo mkopo wa aina hiyo. Nnavyojua TCU hutoa mkopo kwa degree ya kwanza tu. Huo mkopo wanatoa OUT au taasisi gani?
 
TCU hawatoi mkopo ila HESLB ndio wanatoa mikopo.
 
Back
Top Bottom