Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kwa Wale Watakaojifanya Wajanja Kutoka SAINT JOSEPH UNIVERSITY na Kutaka Kujihamishia Vyuo Vengine Huku Wakiwa Wametimuliwa Chuoni Hapo, Basi Wajue HESLB iko Macho Na Itahamishia Mikopo Yake Kwa Wale Wanafunzi Halali tu Ambao Hawakutimuliwa bali Wanahama Chuoni Hapo Kutokana Na Kufungwa Chuo Hicho! Na Mikopo Yao itafata huko Katika Vyuo Wanavyoeleke.