Kwa matokeo haya atapata chuo cha serikali kusoma diploma in Primary schools?

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Naomba kufahamu sofa za diploma in primary education coz kuna dogo ameaply ila ana wasi wasi kwani ana ufaulu WA DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D
 
Back
Top Bottom