Walioomba vyuo vya kilimo

Walioomba vyuo vya kilimo

Tafuten namba za simu kwa vyuo huska ulikotuma maombi ulizia washachagua wanafunzi kuna dogolas kajaribu kuwapigi chuo kimoja kaambimbiwa amechaguliwa mati kilosa
 
Tafuten namba za simu kwa vyuo huska ulikotuma maombi ulizia washachagua wanafunzi kuna dogolas kajaribu kuwapigi chuo kimoja kaambimbiwa amechaguliwa mati kilosa

mimi niliomba ya Tengeru Arusha horticulture,nisaidieni namba za mkuu wa chuo kama kuna mwenye nazo tafadhari
 
Kilimo kwanza
matokeo yameshatoka coz mm mwenyewe naenda kupiga Land use planning MATI-IGURUSI
 
Back
Top Bottom