Private candidate wa form four anaweza kuchaguliwa kwenda shule ya serikali?

Luoga Bahati

Member
May 27, 2016
10
0
Hivi kama umefanya mtihani CSEE as private candidate na umefaulu, Je unaweza kuchaguliwa na kwenda kusoma shule ya serikali?
 
Hivi kama umefanya mtihani CSEE as private candidate na umefaulu, Je unaweza kuchaguliwa na kwenda kusoma shule ya serikali?
Uliza vizuri wizarani niliwahi kusikia kitu kama hicho tangu 2013 nadhani wanachaguliwa am not so sure but possible ikawa hivyo. Ila wanaconsider umri wa mtu..
 
Hauwezi kuchaguliwa,ila unaweza kwenda private school au ukajisajili kama private candidate ukafanya mtihani wa form 6
 
private candidate ndicho alichomaanisha
Kama alimaanisha private candidate na si ile school candidate ya private school ajiandaae kusoma private maana ukifeli ukaristi sidhani kama kuna kuchaguliwa ila kama utashinda tafuta school mimi nilifikiri unazungumzia private school
 
Wanachoogopa zaidi kuwachukua nyie wa private candidate ni kwa kuwa umri ushaenda na pia mpo nje ya mfumo wao hivyo lazima uendelee na private candidate tu
 
Kwa combination na credit za ku unga unga ndio hivo hivo mpaka chuo we utaunganisha vyeti mpaka upate degree gov.wanataka straight bila kuanguka japo ni ngumu.
 
Back
Top Bottom