geee kay
Senior Member
- Mar 21, 2015
- 112
- 63
Ikumbukwe kuwa chuo kikuu cha Udsm jana walifanya mgomo kudai pesa yao ya kujimu, na ilidaiwa pesa hiyo haikuwa chuo lakin baadae wanafunzi waliweza kupewa fedha zao. Ikumbukwe kuwa Dvc Luoga ndiye aliyekubali wanadaruso kuhakikishia umma wa wanaudsm kuwa pesa zingetoka siku ya jumatatu, siku moja kabla ya mgomo, lakin hakuweza kufanya hivyo. Maajabu leo anatangaza kuwachukulia hatua za kisheria wanafunz waliojishughulisha na mgomo wakati yeye ndo alichagiza mgomo huo kwa kutoa waraka wa uongo.