KOZI FUPI YA AutoCAD

KOZI FUPI YA AutoCAD

inatolewa Mbeya University (MUST) zamani MTC kabla ya kuwa MIST kwa bei nafuu (800,000 tu kwa wiki na ni coz ya wiki tatu)
 
inatolewa Mbeya University (MUST) zamani MTC kabla ya kuwa MIST kwa bei nafuu (800,000 tu kwa wiki na ni coz ya wiki tatu)
Laki nane kwa wiki? It implies that 160,000 per day?
Bongo imefikia lini huku?
 
Karibu kwenye vimbweta vya udsm coet ufundishwe kwa gharama yakununuliwa ugali makange....
 
mimi pia nahitaji kujifunza autocad, ila nna ujuzi kidogo kama vp tuanze darasa letu
 
Back
Top Bottom