Msaada: Kozi ya theatre technician

obs2b

Member
May 31, 2016
13
2
Naomba kuuliza kuhusu kozi ya theatre technician. Hapa kwetu ni chuo gani kinatoa, na inachukua muda gani mpaka kumaliza?

Pia ni vigezo gani vinahitajika. Halafu baada ya hapo unaweza kuendelea na kusomea nini kupitia kozi hii?

Asanteni.
 
Back
Top Bottom