gambakuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 462
- 481
Habari wanajf,
Nauliza kuna kituo cha mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu mjini iringa.
Na kama kipo naomba maelekezo ni wapi maana mood ya pepaz imenirudia nataka nimalizia my CPA
Nawasilisha