siya one
Member
- Sep 22, 2015
- 18
- 2
Ndugu zangu naomba kunukuu "Mwanafunzi amepata division four na anapewa mkopo..!!!!" Mh Rais alipokua UDSM tarehe 02/06/2016.
Naomba kuuliza kwa wale Tuliopata Div 4, let say kuanzia point 26,27 hata 28. na tukaamua kujiendeleza kwa kusoma Certificate mwaka mmoja, Diploma miaka miwili, pia tukafanikiwa kudahiliwa Shahada ya Kwanza Kupitia NACTE, pia tukafanikiwa kukopeshwa na Bodi ya mikopo (heslb) kusoma Shahada ya Kwanza.
Je nasisi tumepewa Mikopo kimakosa...???