Msaada walio soma Uchumi (Economics) Advance

Mtambo123

Member
Feb 2, 2016
37
17
Wasalaamu Wanajamvi.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wote waliosoma uchumi advance (EGM, HGE na ECA) naombeni nisaidie majina ya vitabu vinavyotumika hasa na form five and six.
sijui Ambilikile, Tayebwa n.k na mwenye syllabus au mahari naweza ipata na tution nzuri hapa dar kwa uchumi.
Nawasilisha.
 
Download thl app, ipo vizuri vitabu kuna intro to micro econ na principle of econ pia kuna mganda vipi vizuri
 
Kuna app inaitwa THL ila hii inacopy "Ambilikile" ni vizuri ukawa na
1.Ambilikile yenyewe
2.Mganda "Tayebwa"
3.Supplementary Economics(S.Chand)
4.Principles of Economics
5.Macroeconomics
6.Elementary Economics
7.Economics Simplified
8.Advanced Economics Theory (Zisti kamili)
hivyo ni baadhi tu ya vitabu muhimu vya Economics kwa advanced level
 
SHUKRANI MKUU
 
samahani mkuu.....nifanye nn mkuu maana nahisi nmeliwa apa.......nmeshalipia kwa MPESA tayari kwa ajili kuomba mkopo heslb
 
samahani mkuu.....nifanye nn mkuu maana nahisi nmeliwa apa.......nmeshalipia kwa MPESA tayari kwa ajili kuomba mkopo heslb
Umefanya makosa! utalipaje na wakati fomu hazijatoka?Na pia hela hairudi,cha msingi kuwa mvumilivu na uandae hela nyingine endapo fomu zitakapotoka kupitia www.heslb.go.tz na si pengine.
 
Back
Top Bottom