Wakubwa salamu zenu kwanza.
Naomba kuuliza Ni Kweli Leo Tarehe 05/May 2016, Ndo ilikua mwisho wa kutuma Maombi .
Naomba yule mwenye ufahamu zaidi aje hapa na maelezo please.
Natanguliza shukrani
Nacte wanahusika na maombi gani mkuu?
Vyuo ... mwaka wa 2016/2017katika ombi lako uliandika NACTE sasa?
Yeah msaada Wako.