NACTE wanaanza selection lini baada ya deadline?

Wakuu mwenye habari anijuze kuwa wataanza kuselect lini?

mkuu, hivi kwenye hiyo CAS, ni namna gani Applicant anajua kwamba tayari application yake imekamilika na IMEKUWA SUBMITTED/CONFIRMED ?
 
Mm nafikiri wangesema lini watatoa matokeo ili ambao watakosa waangalie upande wa pili kuliko kuchelewesha
 
05ffaf2dd98d5dce76963cb9b0664a58.jpg
 
mkuu, hivi kwenye hiyo CAS, ni namna gani Applicant anajua kwamba tayari application yake imekamilika na IMEKUWA SUBMITTED/CONFIRMED ?
Mkuu una list tu course ulizochagua utaona selection tatu ulizofanya
 
Mkuu una list tu course ulizochagua utaona selection tatu ulizofanya

Mkuu, is it a MUST kufanya 'selection tatu' ? Ni compulsory to select "3 programmes"? What if applicant akifanya ONE selection?
 
Wakuu mbn baadhi ya vyuo hamna lkn!? Kama UDOM,UDSM,SUA,ARDHI na vingine vingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom