Mwaka 1998, nini kilitokea mpaka serikali ikaamua kurudia mtihani wa taifa?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,722
10,475
Juzi kati niliota kuwa mtihani wa form six unarudiwa,tatizo aliyetangaza si waziri huyu(Prof Ndalichako).
Hii ya kuota inaweza kuwa imechangiwa na kusikia kuwa pepa imevuja sana hivyo akili kuforce ndoto.
Mliokuwa mnajielewa 1998 mnakumbuka nini hasa kiliifanya serikali ione haja ya kurudia pepa?

tupeni kumbukumbu zenu.
 
Mwaka huo mitihani ilivuja balaa. Mimi nakumbuka tulifutiwa matokeo yote. Tulirudia mwaka 1999 mwez January,nadhan mtihani wa marudio ulichapwa London!
 
Ni mwaka ambao nilifanya pepa hiyo, kweli mzigo ulizagaa sana mtaani.Ulifutwa na kurudiwa january 13, 1999. Daladala za Pasiansi to Town Mwanza zilikuwa zimebandikwa zinazofanyika kesho yake.
 
Hii issue ya kudhibiti wizi wa mitihani sijuwi kwa nini inakuwa ngumu kiasi hiki .Nimeshuhudia mitihani yote ya form form 4 na form 6 mwaka huu wanafunzi walikuwa na paper karibia zote, kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ya kuwa kuna baadhi ya mitihani ilirushwa insta hivi kweli mtihani imekuwa cheap kiasi hiki.Namuomba waziri wa elimu ashughulikie hili suala sina wasiwasi na utendaji kazi wake
 
ulaya wameshindwa kulimaliza hili tatizo ndo tanzania?????
 
Kuna room mate wangu alikua kufanya mitihani 3 akaniambia tayari ana 2. Kipindi hicho mi ndo kwanza hata sielewi hiyo 1 ina nini na nini
 
1998 hata za form six zilivuja. Nakumbuka tuliletewa "fake" usiku wa kuamkia paper la Physics. Wajanja tukalisolve kama past paper tu. Kesho yake asubuhi saa mbili tukazuiliwa kuingia kwenye chumba cha mtihani..kumbe waliambiwa wasubiri paper mpya inakuja.

Waliokuwa wamemeza vitu usiku waliipata fresh maana hata definitions na simple formula ziliyeyuka vichwani mwao
 
Hii issue ya kudhibiti wizi wa mitihani sijuwi kwa nini inakuwa ngumu kiasi hiki .Nimeshuhudia mitihani yote ya form form 4 na form 6 mwaka huu wanafunzi walikuwa na paper karibia zote, kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ya kuwa kuna baadhi ya mitihani ilirushwa insta hivi kweli mtihani imekuwa cheap kiasi hiki.Namuomba waziri wa elimu ashughulikie hili suala sina wasiwasi na utendaji kazi wake
Shule za private ndo wanavujisha mitihani kwa kigezo cha hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom