Babuj96 Senior Member Mar 26, 2016 136 54 Jun 5, 2016 #1 Hivi ni kwa nini ni mwiko kuweka pesa katika Ungo(kifaa cha kupetea mchele n.k)
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 32,824 34,746 Jun 5, 2016 #3 Babuj96 said: Hivi ni kwa nini ni mwiko kuweka pesa katika Ungo(kifaa cha kupetea mchele n.k) Click to expand... Mwiko huko kwenu, kwetu mwiko kuufunika ungo pale kwenye kimbunga....
Babuj96 said: Hivi ni kwa nini ni mwiko kuweka pesa katika Ungo(kifaa cha kupetea mchele n.k) Click to expand... Mwiko huko kwenu, kwetu mwiko kuufunika ungo pale kwenye kimbunga....