Swali: Ni lini walio-apply Community health watapewa feedback?

Omax oppa

Member
Jun 4, 2016
49
40
Habari za muda huu wakuu samahani naomba kuuliza, nimeapply community health mwezi wa nne. Je hivi ni mwezi wa ngapi itatoka taarifa kwa wale waliochaguliwa.

Asante.
 
Back
Top Bottom