Msaada wa notes za survey kwa form six

Tafuta kitabu cha Pritchard geography na kama upo dar mtegetwa Ana notes nzuri kweli za survey jalibu kutafuta vile vitin vyake hata mikoani vipo kama sikosei.
 
watu siku hiz mnasomaje, unahangaika na savei, statistics na photo zipo,sikuwahi kusoma research wala savei advance, Bagua unazoweza piga kwa miaka 2 topic 2 sizani kama kuna swal utashindwa pata 10/15
 
Back
Top Bottom