Kwa wanaojuwa tarehe ya kuanza kuomba Mikopo Loans Board

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Natanguliza heshima kwanza.

Kwa wanaofahamu tarehe ya ya kuanza kuomba mikopo mpiya kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2016/17 tunaomba watujulishe. Je sasa maombi yameanza? ili tuanze kufanya maombi wengine tupo mbali kidogo na taarifa zao.

shukuran.
 
Bado mkuu, application zikianza utajua tu, kuwa unatembelea JF Mara kwa Mara maana humu watu hawana hiyana na taarifa wanatoa tu.
 
Back
Top Bottom