mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
Mwaka jana serikali walitangaza nafasi za course ya COMMUNITY HEALTH katika ngazi ya CHETI KWA MWAKA MMOJA , kupitia mfumo wa udahili wa pamoja wa nacte na wakahainisha sifa zao , na kwamba hao wanafunZI WANGEPATIWA MKOPO nina ndugu yangu alifanya application na akafanikiwa kupata hiyo course , alipoenda ku ripoti Tumaini University MBEYA campus akaambiwa kwamba kuhusu sponsorship ambayo waliahidiwa hamna wataopata udhamini ni wale tu wanaotoka mkoa wa katavi na mbeya tu kama ye ametoka nje ya hapo ajilipie ,tukambambana kumsaidia dogo ili asome tukapata ada tumkalipia tukiamini akimaliza anapata ajira moja kwa moja , juzi kanipigia simu kua ma OFFICE R KUTOKA NACTE WALIFIKA CHUONI HAPO NA KUAWAELEZA YAFUATAYO
1. KATIKA WALE WANAFUNZI KUNA WANAFUNZI 20 , hawana sifa za kusoma hiyo course
2.WANAFUNZI 14 WAMEFOJI VYETI
3.WALIOBAKI ITABIDI WAANZE KUSOMA UPYA HIYO COURSE WAKITOA SABABU KWAMBA WALIKUA WANAFUNDISHA THEORY ZAIDI YA PRACTICAL NA WATAHAMISHWA KUPELEKWA VYUO VINGINE WACHACHE WATABAKI HAPO HAPO TUMAINI, hivyo vyup vingine kama ada itakua imezidi zaidi ya pale tumaini wanaongezea ili wasome.
Ndugu yangu yupo clean kwa maana hayupo katika kufoji vyeti wala kukosa sifa ,
Hivi government wana JF mbona imekua ni balaa sasa na hii fukuza fukuza tunaelekea wapi