kwanin wanasema ni sawa na degree kwahiyo haina tofaut na ordinary diplomaukisoma higher diploma bado hujafikia level ya bachelor .... advantage yake ni ukienda kujiendeleza kimasomo utasoma bachelor moja kwa moja....kama umefaulu...bachelor degree inatambuliwa na kukubalika na tume ya vyuo vikuu
mkuu ni kwamba higher dip ni NTA level 7 na ni, sehemu ya bachelar degree ambayo ni NTA level 8;kwa kozi zile za miaka 4 mwanafunz anaposoma mpaka semister ya sita yaan mwaka wa 3 na akaamua kutoendelea na mwaka wa mwisho basi atapewa higher dip vile vile kwa yule aliyefel naye atapewa higher dip bt sifaham kwa kozi za miaka 3Kuna tofaut gani kati ya bachelor degree na higher diploma ? Nimeaona wote ni nta level 7, je higher diploma akimaliza anaweza kusoma masters,pili wote wakimaliza chuo wanaajiriwa cheo kimoja?
Kozi za miaka 3 hupata higher diploma wakifika mwaka wa pili (semester 4) endapo atashindwa kuendelea na kuamua kuvusha masomo.mkuu ni kwamba higher dip ni NTA level 7 na ni, sehemu ya bachelar degree ambayo ni NTA level 8;kwa kozi zile za miaka 4 mwanafunz anaposoma mpaka semister ya sita yaan mwaka wa 3 na akaamua kutoendelea na mwaka wa mwisho basi atapewa higher dip vile vile kwa yule aliyefel naye atapewa higher dip bt sifaham kwa kozi za miaka 3