Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Kwa muda sasa kupiga number ya Halotel kutokea Airtel imekuwa kama kubahatisha muda mwingi utaambiwa number unayopiga haipo sijui ni kwa line yangu au nini tatizo ila ninaexperience hilo tatizo kwa muda mrefu japo sometimes ukiendelea kupiga mara nyingine inapatikana sio kwa number moja ya halotel ni almost zote za Halotel utaambiwa number haipo.