Kama hili shimo hamtupi taka mlichimba la nini?

username1

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
267
253
Rais ulituahidi kuwa uhakiki utachukua muda wa miezi miwili tu lakini mpaka sasa ni zaidi ya miezi nane toka uanze uhakiki.
Vyombo vyenye mamlaka juu ya masuala ya ajira vilipoambiwa hili swala lipo juu ya uwezo wao vilikanusha lakini ukweli ndio.
swali kama hautupi taka shimo hili ulichimba la nini sizonje?
 
Ukisikia siku Bashite Kahakikiwa ujue ndo tayari muda WA kuanza kutupa taka shimoni umefika.
 
Limeshaisha, waliopatwa wamepatwa, tuliosalimika ndo kama sie kina Daud, bahati ya jirani usilalie mlango wazi....
 
Back
Top Bottom