Nimeota Gwajima amekamatwa kabla ya siku aliyotangaza mambo ya kijiji cha Koromije

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,235
Kwanza ndio nimeamka, jasho limenitoka kwa ndoto hii.....
Nilikua kanisani, chaajabu ni tarehe 4 mwezi march, siku ya jumamosi.
Eti Gwajima amekamatwa kabla ya siku alio tangaza mambo ya kijiji sitimbi.......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
watakaomkamata gwajima yao mbaya maana si mtu wa kuchezewachezewa.... serikali ya gwajima haitishiwi daima
 
Back
Top Bottom