Afya ya mwenyekiti mwenza wa ukawa

joo_73

Member
Feb 8, 2017
88
67
mmoja wa jemadari la siasa limeendelea kuimarika kiafya na yuko tayari kuingia kwenye mapambano akirudi kushirikiana na makamanda wenzake kama Freman Mbowe,Edwad Ngoyai Lowasa, komandoo Godfrey Lema na majemadari woote wa ukawa.. tumpe neno moja na zuuuri kamanda huyu bwan James Mbatia
 
Back
Top Bottom