Smile mnatuibia

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
652
562
Walianza vizuri na 4G yao ila sasa wamekuwa wanyang'anyi kabisa. Kuanzia mwishoni wa mwaka jana 2016 unaweka bundle na ukijaribu kufungua mtandao haifungui na inafanya hivyo hadi siku 7 au 30 zinapita na bundle linaisha na wao wanakuwa wamejipatia fedha kwa njia ambayo si halali. Smile wamenifanyia hivi mfululizo na hata ukiwasiliana nao hawakupi jibu.

Kwa hiyo watanzania wenzangu ninawaarifu ili msiingiie kwenye kuibiwa kama ilivyokuwa kwangu. Mjihadhari msiseme hamkujua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom