LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
Sio mpenzi sana wa kuangalia Habari za Biashara, ila naona kama Channel Ten nawapongeza,, maana nimeanza rasmi kuangalia Habari za biashara.
Maboresho
Ila naomba tu, Camera man kidogo awe anachukua picha kwa umbali kidogo, ili nipate kusikia na kuelewa vyema taarifa za biashara,
Maboresho
Ila naomba tu, Camera man kidogo awe anachukua picha kwa umbali kidogo, ili nipate kusikia na kuelewa vyema taarifa za biashara,