Kila siku na kila mara binafsi nimekuwa nikipiga kelele humu na hata nikiwakosoa huku nikitoa maelekezo Kuntu kabisa kwa Police Tanzania na Mamlaka ambayo huwatuma hao Police kumkamata Mtani wangu...
Dunia imegawanyika katika vipande viwili. Sisi tunaoamini MwanadamU ni zao la Ufundi wa Mungu na kundi lingine wanadai mwanadamu aliibuka kwa bahati nasibu.
Yawezekana kungekuwa na siku ya...
Kwanza nawapa pongezi sana kwa kushinda keshi na hatimaye kurejea kwenye medali ya habari. Sasa tunaomba kuona habari nyingi za UCHAMBUZI wa Kisiasa, kiuchumi na mambo yote ya jamii. Hatutaki...
Akizungumza na Nipashe jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene, alisema viongozi hao wanatakiwa kutumia busara zaidi kuliko kuwakomoa watumishi pale wanapokosea kwa...
Nimekuwa nikipitia maandiko mengi humu kuhusiana na mambo haya mawili. Wapo wanaosema kuwa;
1. Wanaohoji uhalali wa vyeti/majina ya mkuu wa mkoa ni wauzaji/watumiaji dawa za kulevya na wanataka...
Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi...
Madawa ya kulevya hayana uhusiano na vyeti. Hapa naomba tusichanganye mada kwa wale wote mnaomtetea ndugu yetu.
Kimsingi vyeti ni muhimu sana, kwasababu vinaeleza elimu ya mtu husika.(mfano...
Amani iwe kwenu wana JF.Baada ya upepo uliokuwa unapeperusha ujasiri wa Daud Bashite kutulia,sasa naona harakati zinaendelea kama dawa.
Nikirejea kwenye mada tajwa,nimekuwa msikilizaji wa redio...
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.
Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara...
Wasaalamu ndugu, nashindwa nielezee Kwa Maneno Gani Ila ninapokuwa Naumwa Aidha homa au mafua basi napata ndoto fulani ambayo sijajua ni Hisia Gani. Naota kama kuna vitu viwili vinakimbizana na...
Salam,
Kwa Muda wa zaidi ya wiki mbili huku mitandaoni kumekuwa na mjadala mrefu unaozungumzia utata wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar. Ninaamini hichi ndicho kilichopelekea mkuu huyo kusimama...
Hivi ni kukosa ubunifu?kukosa habari?au kitu gani?
Tena radio zote wanaigana mwisho Wa siku radio zinakosa maana
Tulizoea kusikiiza BBC radio nadhani ilikua mita band 103.1_lakini sasa inaelezwa...
Katika kumbukumbu zangu
Iliwahi kutokea hii mnamo mwaka 1999 Mkoani Mbeya pale shule za Meta na Sangu zote kwa pamoja wanafunzi waliandamana mpaka kwa Mkuu wa Mkoa wakipinga shule hizo...
Habari mpasuko nilizozipata muda huu bi kuwa Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kinateketea kwa moto.
Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha...
mpaka muda huu sijaelewa usafiri wa mabasi yaendayo haraka leo yamekumbwa na nini maana nimefika pale morocco nimepanda bure nashuka gerezani naambiwa nilipe nauli ndio nitoke
kuna shida gani...
Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi...
Walianza vizuri na 4G yao ila sasa wamekuwa wanyang'anyi kabisa. Kuanzia mwishoni wa mwaka jana 2016 unaweka bundle na ukijaribu kufungua mtandao haifungui na inafanya hivyo hadi siku 7 au 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.