Taarifa kutoka kwa Mwl Ezekiah T Oluoch Naibu Katibu Mkuu CWT

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,124
2,092
Rais wa CWT, Makamu wa Rais wa CWT, Katibu Mkuu CWT na Mweka Hazina wa Taifa wa CWT. Ninapenda kuwajulisha kuwa nimepokea barua mbili kwa njia ya baruapepe kutoka Tamisemi.

Barua ya Kwanza imetoka kwa Katibu Mkuu wa Tamisemi iliyokiri serikali kupokea hoja saba za CWT zilizowasilishwa tare he 21 Februari katika kikao kilichoitisha na Mhe Simbachawene Mbunge na Waziri wa Nchi Tamisemi. Barua ya pili imeandikwa na kusainiwa na Mhe Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi na kunakilishwa kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Mhe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kikao hicho kimetujulisha kuwa kutakuwa na kikao cha Pili cha mazungumzo kati ya serikali na CWT tarehe 16 Machi saa 4 Dodoma ili serikali itoe mrejesho wa hoja saba za Chama. Kwa mujibu wa Kifungu cha 32A cha Sheria ya Utumishi wa Umma (Mabadiliko ya Sheria ya mwaka 2016) kabla ya Chama cha wafanyakazi kutumia Sheria yoyote ya kazi lazima ihakikishe kuwa majadiliano na mwajiri yameshindikana kupata suluhisho la matatizo ya wafanyakazi.

Kifungu hicho pia kinapaswa kusomwa na Kifungu cha 26 cha Sheria ya Majadiliano ya Pamoja kwenye Utumishi wa Umma. Kwa kuzingatia vifungu hivyo vya Sheria nilivyovitaja hapo juu, CWT haiwezi kutangaza mgogoro na serikali tarehe.1. 3.2017 kama ilivyoamuliwa na Baraza kwa kuwa mazungumzo na mwajiri hayajakwama na hatujui tutakachopewa na mwajiri kwenye kikao kijacho. Tamko la Baraza la Taifa la kutangaza mgogoro linaweza kutekelezwa ikiwa mazungumzo ya tarehe 16.3.2017 hayatakuwa na tija.

Kwa sasa ninashauri kuwa kwa tarehe 1.3.2017 Rais wa CWT awajulishe walimu kuwa tunasubiri kikao cha tarehe 16. 3.2017 kabla ya kuamua kutangaza mgogoro au la. Madai ya walimu yakitekelezwa na mwajiri hakutakuwa na sababu ya kutangaza mgogoro na mwajiri. Maelezo haya ni ushauri wangu wa kitaalamu ambayo nimeona niitoe kwa kuwa barua zimetumwa kwenye baruapepe yangu na nimezisoma na kukiri kuzipokea.

Pia nimezingatia kuwa Rais anaweza kuulizwa maswali kwa leo au kesho ili atakachosema iendane na matakwa ya Sheria.

Ni mimi Mwl Ezekiah T Oluoch Naibu Katibu Mkuu leo tarehe 28.2.2017 saa 12:15 jioni
 
Hili lichama nalichukia kuliko hata ccm yenyewe oluoch ipo cku mkifa tutafukua mifupa yenu tuichape viboko hamuwezi kutanguliza maslahi yenu mbele mkawa mnawakata waalimu Pesa zao nashkuru mimi hamnikati na hamtakaa mnipate ng'oo Kwa upuuzi wenu eti lijitu limekaa ofisini linapokea barua Kwa njia ya fax cjui barua pepe ila Mungu anawaoneni mnajiona mmefika na hayo matumbo yenu mnayoyajaza Kwa michango ya wavuja jasho ila safari bado aseee!!!!
 
Mwl Ezekiah Uloich huna ubavu wa kiitisha mgomo wa walimu nchi mzima kama Madaktari wa Kenya.

Wewe ni muoga na walimu wako ni waoga na ndiyo asili ya Mtanzania uoga mtupu.

Wanaoweza kuthubutu ni wachache sana mfano....
 
Bora Walimu na Madokta wana historia ya kugoma. Wengine wapo kwenye keyboards zao wanashadadia migomo, utadhani wao wanalipwa vizuri kumbe nao wamepigika mno. Gomeni na nyie basi!!!
Fact, kuna nyumbu wanakaa ofisini kula viyoyozi nyuma ya keyboard kunbwa then mwisho wa mwezi wanachomoka na 300,000/= ila hawajawahi kusikika hata wakilalamika.
 
Rais wa CWT, Makamu wa Rais wa CWT, Katibu Mkuu CWT na Mweka Hazina wa Taifa wa CWT. Ninapenda kuwajulisha kuwa nimepokea barua mbili kwa njia ya baruapepe kutoka Tamisemi. Barua ya Kwanza imetoka kwa Katibu Mkuu wa Tamisemi iliyokiri serikali kupokea hoja saba za CWT zilizowasilishwa tare he 21 Februari katika kikao kilichoitisha na Mhe Simbachawene Mbunge na Waziri wa Nchi Tamisemi. Barua ya pili imeandikwa na kusainiwa na Mhe Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi na kunakilishwa kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Mhe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao hicho kimetujulisha kuwa kutakuwa na kikao cha Pili cha mazungumzo kati ya serikali na CWT tarehe 16 Machi saa 4 Dodoma ili serikali itoe mrejesho wa hoja saba za Chama. Kwa mujibu wa Kifungu cha 32A cha Sheria ya Utumishi wa Umma (Mabadiliko ya Sheria ya mwaka 2016) kabla ya Chama cha wafanyakazi kutumia Sheria yoyote ya kazi lazima ihakikishe kuwa majadiliano na mwajiri yameshindikana kupata suluhisho la matatizo ya wafanyakazi. Kifungu hicho pia kinapaswa kusomwa na Kifungu cha 26 cha Sheria ya Majadiliano ya Pamoja kwenye Utumishi wa Umma. Kwa kuzingatia vifungu hivyo vya Sheria nilivyovitaja hapo juu, CWT haiwezi kutangaza mgogoro na serikali tarehe.1. 3.2017 kama ilivyoamuliwa na Baraza kwa kuwa mazungumzo na mwajiri hayajakwama na hatujui tutakachopewa na mwajiri kwenye kikao kijacho. Tamko la Baraza la Taifa la kutangaza mgogoro linaweza kutekelezwa ikiwa mazungumzo ya tarehe 16.3.2017 hayatakuwa na tija. Kwa sasa ninashauri kuwa kwa tarehe 1.3.2017 Rais wa CWT awajulishe walimu kuwa tunasubiri kikao cha tarehe 16. 3.2017 kabla ya kuamua kutangaza mgogoro au la. Madai ya walimu yakitekelezwa na mwajiri hakutakuwa na sababu ya kutangaza mgogoro na mwajiri. Maelezo haya ni ushauri wangu wa kitaalamu ambayo nimeona niitoe kwa kuwa barua zimetumwa kwenye baruapepe yangu na nimezisoma na kukiri kuzipokea. Pia nimezingatia kuwa Rais anaweza kuulizwa maswali kwa leo au kesho ili atakachosema iendane na matakwa ya Sheria. Ni mimi Mwl Ezekiah T Oluoch Naibu Katibu Mkuu Nawashauri tu walimu hamna haja ya kua mwanachama wa Cwt. wamekaa kitapeli na kikada hamna kutetea masilahi yenu. wanawazugaa wanajituma tarehe 28.2.2017 saa 12:15 jioni
 
Rais wa CWT, Makamu wa Rais wa CWT, Katibu Mkuu CWT na Mweka Hazina wa Taifa wa CWT. Ninapenda kuwajulisha kuwa nimepokea barua mbili kwa njia ya baruapepe kutoka Tamisemi. Barua ya Kwanza imetoka kwa Katibu Mkuu wa Tamisemi iliyokiri serikali kupokea hoja saba za CWT zilizowasilishwa tare he 21 Februari katika kikao kilichoitisha na Mhe Simbachawene Mbunge na Waziri wa Nchi Tamisemi. Barua ya pili imeandikwa na kusainiwa na Mhe Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi na kunakilishwa kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Mhe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao hicho kimetujulisha kuwa kutakuwa na kikao cha Pili cha mazungumzo kati ya serikali na CWT tarehe 16 Machi saa 4 Dodoma ili serikali itoe mrejesho wa hoja saba za Chama. Kwa mujibu wa Kifungu cha 32A cha Sheria ya Utumishi wa Umma (Mabadiliko ya Sheria ya mwaka 2016) kabla ya Chama cha wafanyakazi kutumia Sheria yoyote ya kazi lazima ihakikishe kuwa majadiliano na mwajiri yameshindikana kupata suluhisho la matatizo ya wafanyakazi. Kifungu hicho pia kinapaswa kusomwa na Kifungu cha 26 cha Sheria ya Majadiliano ya Pamoja kwenye Utumishi wa Umma. Kwa kuzingatia vifungu hivyo vya Sheria nilivyovitaja hapo juu, CWT haiwezi kutangaza mgogoro na serikali tarehe.1. 3.2017 kama ilivyoamuliwa na Baraza kwa kuwa mazungumzo na mwajiri hayajakwama na hatujui tutakachopewa na mwajiri kwenye kikao kijacho. Tamko la Baraza la Taifa la kutangaza mgogoro linaweza kutekelezwa ikiwa mazungumzo ya tarehe 16.3.2017 hayatakuwa na tija. Kwa sasa ninashauri kuwa kwa tarehe 1.3.2017 Rais wa CWT awajulishe walimu kuwa tunasubiri kikao cha tarehe 16. 3.2017 kabla ya kuamua kutangaza mgogoro au la. Madai ya walimu yakitekelezwa na mwajiri hakutakuwa na sababu ya kutangaza mgogoro na mwajiri. Maelezo haya ni ushauri wangu wa kitaalamu ambayo nimeona niitoe kwa kuwa barua zimetumwa kwenye baruapepe yangu na nimezisoma na kukiri kuzipokea. Pia nimezingatia kuwa Rais anaweza kuulizwa maswali kwa leo au kesho ili atakachosema iendane na matakwa ya Sheria. Ni mimi Mwl Ezekiah T Oluoch Naibu Katibu Mkuu leo tarehe 28.2.2017 saa 12:15 jioni
Miaka yote mlikuwa hamjui kama kuna hiyo sheria na kwa nini utumiwe ww na sio katibu mkuu unatia ukakasi kuliko hata wa fenesi na yote ni kwa kuwa unajiangalia ww kuliko maslahi mapana ya walimu wote kwako Oloch
 
Hakuna watu wa hovyo km Walimu.Na viongozi wa chama chao wameshawajua kuwa ni wajinga
 
Sorry naomba niulize, hivi makao makuu ya hiyo cwt yako SENGEREMA?
 
Bora Walimu na Madokta wana historia ya kugoma. Wengine wapo kwenye keyboards zao wanashadadia migomo, utadhani wao wanalipwa vizuri kumbe nao wamepigika mno. Gomeni na nyie basi!!!
KWELI MKUU, MBONA MAGUFUL AMEMTEUA MAMA SALMA KIKWETE NA WALA SIO MAMA ZAO, wanaishia kulalamika na wala sio kugoma. MBONA MAKONDA ANA VYETI FEKI NA YUKO OFISI KUBWA HUKU AKINYWA WHISKY ILIHALI WAO WAMEPIGIKA UNGA LTD WAKINYWA VIROBA HUKU VYETI VYAO OG VIKIENDELEA KUVUNDA KABATINI. na wao wagome ktk hili.


Kwa ujumla watanzania wote ni waoga na ndio maana
 
Back
Top Bottom