Kama haiwezekani kuchangia mada niloanzisha mwenyewe yanini kuendelea kuwa member humu?

herikipaji

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
1,198
1,369
Niliandika mada hii https://www.jamiiforums.com/threads/wakristo-kwa-hili-mnapotoka-na-kukosea-sana.1210633/unread siku ya jumamosi tarehe 4 march 2017 saa 2:17 asubuhi hii inahusu masuala ya dini, kimsingi ni kuwekana tu sawa kwenye masuala haya ya kidini hasa kwa ndugu zetu hawa wakristo.

Hii mada niliomba ipelekwe jukwaa la dini sababu ndiyo mahali sahihi na kweli mods walipeleka hima sana, ombi la pili ni mimi kuingia jukwaa la dini ambali halikutekelezwa nikaandika uzi mwingine kuomba hilo wakaahidi kufanya hivyo.

Ile mada naiona tu sasa siku ngapi zimepita watu wanachangia mwenyewe nimepigwa limit hata siwezi kureview tu,
SASA NAOMBA KAMA HAIWEZEKANI KUNIRUHUSU NICHANGIE MADA YANGU HIYO MNIONDOE TU HUMU JAMIIFORUMS, HAKUNA SABABU YA KUENDELEA KUWA HUMU HALI NINAPUUZWA.
NAONA NADHARAULIKA TU NA MODS HAPA.

JamiiForums.
 
Umejihisi kua unadharauliwa, ukiomba hivo itakua
 
Kwanini usitoke mwenyewe tuu mkuu sasa hapa unamlilia nani au Ndio Bashite style!!?
 
Hahahaa mkuu nitaingije kwenye database ya JF bana, daah.
We hujui INSERT, UPDATE, DELETE nk ni lazima afanye admin asee

Kwenye post zako zote uluzoanzisha au ulizojibu nenda kulia kuna kisehemu cha delete kaKAKIGONGE PUMBA zote ulizopost ukiwa na akili timamu au la zitaondoka
 
Kwa wanaosema kigezo cha uvumilivu sijui nini, hii sio kweli kuingia jukwaa la dini hakuna hiki kigezo.
Msijitungie mambo.
 
Back
Top Bottom