Msimu wa sikukuu za Chistmass na mwaka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Wilaya ya Temeke na Mkuranga kuangalia namna ya kupunguza msongamano uliopo katika eneo la Mbagala
Majaliwa amesema hayo leo Februari 7,2017...
Nimekuwa mtumishi wa umma, (mwajiriwa serikalini) kwa miaka mi 5 sasa lakini kadri siku zinavyokwenda sina hamu wala moyo wa kuendelea na kazi nawaza tu kujiajili au kuwa katika private org ila...
Kwa mnaotumia azam tv hebu jaribuni kuchunguza uonekano Wa picha azam tv..naona ni kama picha imezidi kua more clear,au n macho yangu tu?yawezekana ndio moja ya mabadiliko walokua wanatuonyesha...
Za mihangaiko Wanabodi. Nimewaza sana hivi mji wa Zanzibar una hadhi ya Jiji au ni Manispaa? Je kwa ukubwa wa Mji wa Zanzibar(Unguja Town Proper) unaweza kuufananisha na mji gani kwa huku bara...
Katika hali ya kushangaza na kiburi cha madaraka mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya manyoni kazuia mzunguko wawatumishi kufanya zamu zao na kuhama idara wanazofanya kazi kwa muda mrefu ili...
Naona kama ni mchezo wa kujificha (kombolela) na wala sio vita.
Vita gani hata hakuna ata moshi wa bomu ,acheni mchezo bwana vita IPO kule Syria sio huo mchezo wa kitoto wa kujifisha.
Alafu...
Tunapigiwa kelele kila siku tufanye kazi na Bwana mkubwa lakini hili la kutuweka barabarani masaa 3 halikubaliki .Please tafuta njia mbadala ya kukufikisha uendako ulichotufanyia Leo wakati...
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa...
Jamani hili joto la Dar ni balaa ni zaidi ya Khartoum ,mtu unatembea huku umekunja sura yani kila mtu unayepishana naye amekunja sura kana kwamba analia,kiusema kweli hali ya hewa ni mbaya joto ni...
Kwa sasa wananchi wengi wamejawa hofu, mashaka na sintofahamu kubwa kutokama na utendaji usioridhisha wa Jeshi letu la Polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama. Katika kipindi cha karibuni...
Kawaida inapofika mwezi wa March kila mwaka kiwango cha joto kali huongezeka mara dufu katika maeneo mengi Afrika hasa Afrika ya Mashariki kati na Africa ya Magharibi.
Hii inatokana kuwa maeneo...
Jana wakati Mh.Rais anahutubia mkoani mtwara nikaamua kutafuta station inayoonyesha hotuba hiyo na siku zote TBC wakiwa live basi station zingine zinakuwa live na TBC wasipokuwa live basi station...
Kuna ripota anaripoti taarifa za ITV kenya sauti yake ni mbaya mno.Hata habari ikiwa nzuri,Jamaa kasauti kake anavyokavuta inakuwa mbaya mpaka kinywaji na chakula kinagoma kushuka.Maratu naye...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linaendelea kuwatangazia wananchi kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwemo taarifa kuhusu watumishi walioghushi au kutumia vyeti vya...
WAKUU tusaidiane mwenye kuwa na maelezo ya hii kampumu inayojiita G.H.M limited Mwanza maana naona kama wanataka tsh 5000 za watu ambapo kwa uelewa yangu mdogo sielewi kwa nini mtu atoe hiyo pesa...
Habari.
Kwa muda sasa kuna kukatwa katwa umeme kusikokuwa na taarifa.
Je huu ni mgao?
Kama ni mgao kwa nini wateja tusipewe taarifa rasmi na ratiba????
Nakufahamu sana Kiutendaji hasa tokea ulipokuwa TBC na nadhani kama nikisema nitaje kati ya Maripota na Watangazi wenye Ueledi mzuri usio na shaka basi katika list yangu Gerson Msigwa hutokosa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.