Upigaji marufuku mifuko ya palstiki uliishia wapi?

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
Kulikuwa na habari kuwa january 2017 itakuwa mwisho wa utumiaji wa mifuko ya plastiki ila mpaka hii machi kimya. Ingawa mifuko ya plastiki tunaihitaji sana ila bado jitahada za kupunguza matumizi yake lazima ziwepo

Kwa maoni yangu naona pawepo na jitihada za kupunguza utumiaji wa plastiki kwa ujumla kwani hata hii operasheni viroba ingekuwa rahisi. Tusishangae hivi viwanda vya pombe za viroba vikaanza kutengeneza pombe kwenye plastiki kama za juice tukarudi kulekule.

Hivyo vinywaji vyote vitengenezwe kwa chupa(glass) ambazo zinakuwa recycled kama soda za chupa, black cuirrent za zamani nk. Hii itapunguza matumizi makubwa ya pastiki lakini pia tukumbuke hizi juice nyingi zinatengenezwa na kemikali ambazo nyingi miaka ya baadae zinalete saratani(cancer) sasa angalia namna hizi juice watoto wanavyokunywa kwa wingi je miaka ya mbeleni tutaweza pambani na saratani za watoto. Tujali afya zetu kwani ndio msingi wa nguvu kazi ya nchi na kuwa na kizazi endelevu
 
Kwa hiyo lengo lako lipi sasa, maana umetuekea maelezo tofauti
 
Maajabu. Napata wasiwasi mbona viroba wameanza na msako. Au kwenye viroba kuna wapinzani wa "sirikali" na kwenye hiyo mifuko kuna faida ya serikali
 
Back
Top Bottom