Ni hivi karibuni tumeshuhudia Wakimbizi toka SYRIA & YEMENI wakitafuta hifadhi huko ULAYA (hasa Ujerumani) na kwingineko. Lakini cha kushangaza wapo majiirani zao na Ndugu zao wa damu huko UAE, Qatar na Saudia wana ukwaisi wa kutisha lakini hatuoni wakikimbilia huko. Kunani? Mwenye kujua atujuze!!