Mwendo kasi utaratibu wa kulipa nauli 07/03/2017 umebadilika?

THEBLACKPEARL

Member
Jun 11, 2015
69
46
mpaka muda huu sijaelewa usafiri wa mabasi yaendayo haraka leo yamekumbwa na nini maana nimefika pale morocco nimepanda bure nashuka gerezani naambiwa nilipe nauli ndio nitoke

kuna shida gani huko tujuzane???
by tha way sijalipa nitalipaje na ndio nimefika???
 
Mkuu sepa zako siumefika???
 
Leo usafiri ulikuwa bure mtandao wao uligoma, wengi tumesafirishwa bure
 
Mifumo ya kukatia tiketi ambayo inaendeshwa na mzabuni= Max malipo leo imefeli hivi jamaa kawatengenezea wenzake hasara leo na hawaweza kusitisha safari kwa kuwa wame sign MOU na summatra kwamba watatoa huduma kwa route walizochukua every day na ndio maana wale wa madaladala wameondolewa
 
Back
Top Bottom