TheRothchild
New Member
- Feb 9, 2017
- 2
- 3
Wadau naomba mnijuze kuhusu mfumo wa nyoka wa kuona
1.Anaona umbali gani?
2.Anatengeneza vipi taswira ya kitu
1.Anaona umbali gani?
2.Anatengeneza vipi taswira ya kitu
Jaribu kugoogle ukishindwa nenda kwenye ofisi yoyote ya mali asili ukawaulize huko.Wadau naomba mnijuze kuhusu mfumo wa nyoka wa kuona
1.Anaona umbali gani?
2.Anatengeneza vipi taswira ya kitu
Ahsante sana mkuu nimekuelewaWanasema Nyoka ana infrared vision! Yaani anaona Image ya kiumbe linalochorwa na joto la mwili. Ifrared ni mwanga ila wenye Wave length ya 800nm had 1mm hivyo umbali wa kuona ni mbali zaidi. Nyoka atakuona kama hivi
Kwa hiyo nyoka kabla ya kumwoma anakuwa keshakusoma!
Asante kwa elimu nzuriWanasema Nyoka ana infrared vision! Yaani anaona Image ya kiumbe linalochorwa na joto la mwili. Ifrared ni mwanga ila wenye Wave length ya 800nm had 1mm hivyo umbali wa kuona ni mbali zaidi. Nyoka atakuona kama hivi
Kwa hiyo nyoka kabla ya kumwoma anakuwa keshakusoma!
NpAsante kwa elimu nzuri
Ulimi hautoi Kuangalia bali Kupick chemical scent, ili ajue Menu zilizo karibu naye!ulimi akiutoa nje anakuwa tayari ameshapeleka mawasiliano mpaka kwenye gland moja iliyopo kwenye ubongo kichwani na tafsiri ni hapo hapo kuanzia kuona ,kusikia n.k
kwa kifupi nyoka haoni rangi nyingine zaidi ya black and white
ukihitaji msaada zaidi ingia Google
sawa nyoka ana damu baridi,hivyo kuna kipindi uwezo wake wa kuona huwa weak na sio nyoka wote wana infrared vision ,ni kwamba nyoka kama rattle uwezo wake katika infrared vision in mkubwa pia pythonUlimi hautoi Kuangalia bali Kupick chemical scent, ili ajue Menu zilizo karibu naye!
Asante Kwa elimuWanasema Nyoka ana infrared vision! Yaani anaona Image ya kiumbe linalochorwa na joto la mwili. Ifrared ni mwanga ila wenye Wave length ya 800nm had 1mm hivyo umbali wa kuona ni mbali zaidi. Nyoka atakuona kama hivi
Kwa hiyo nyoka kabla ya kumwoma anakuwa keshakusoma!
Mimi nina swali jingine jamani , hiv kwan kuna mtu alishawahi kuwa nyoka mana vitu vingine mi najiulizaga majibu yake yanatoka wapi?Wanasema Nyoka ana infrared vision! Yaani anaona Image ya kiumbe linalochorwa na joto la mwili. Ifrared ni mwanga ila wenye Wave length ya 800nm had 1mm hivyo umbali wa kuona ni mbali zaidi. Nyoka atakuona kama hivi
Kwa hiyo nyoka kabla ya kumwoma anakuwa keshakusoma!
Hii ni kwa mujibu wa alivyosema nyoka au watu watu wenye uwezo wa kujigeuza nyoka wanavyosema au ni hisia za binadamu kuwa mpaka tulipo tulipitia hatua mbalimbali tokea nyani.ulimi akiutoa nje anakuwa tayari ameshapeleka mawasiliano mpaka kwenye gland moja iliyopo kwenye ubongo kichwani na tafsiri ni hapo hapo kuanzia kuona ,kusikia n.k
kwa kifupi nyoka haoni rangi nyingine zaidi ya black and white
ukihitaji msaada zaidi ingia Google
Wanasema Nyoka ana infrared vision! Yaani anaona Image ya kiumbe linalochorwa na joto la mwili. Ifrared ni mwanga ila wenye Wave length ya 800nm had 1mm hivyo umbali wa kuona ni mbali zaidi. Nyoka atakuona kama hivi
Kwa hiyo nyoka kabla ya kumwoma anakuwa keshakusoma!
Noted
Hahaha umemwona mnigaYaani nyoka anaona ki'predator'predator'!