mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Madawa ya kulevya hayana uhusiano na vyeti. Hapa naomba tusichanganye mada kwa wale wote mnaomtetea ndugu yetu.
Kimsingi vyeti ni muhimu sana, kwasababu vinaeleza elimu ya mtu husika.(mfano DAUDI)<br /><br />Labda tuanze kwa kuangalia maana ya Elimu na hatimaye tuone jinsi inavyochangia katika maendeleo ya jamii katika nyaja mbalimbali.
mwalimu nyerere akielezea maana ya elimu alisema kuwa “ni maarifa,hekima na ujuzi unaorithishwa kizazi hadi kizazi”
Bila shaka hakuna mtu yoyote asiyejua mchango wa elimu katika maendeleo ya mwanadamu yeyote na kama yupo inawezekana ni kwasababu ya kutokujua maana harisi ya elimu.Profesa Rostow aliyekuwa akionyesha hatua ambazo nchi zinazoendelea hasa za Afrika zinapaswa kuzifuata ili kufikia mafanikio kama yale yaliyofikiwa na nchi zilizoendelea katika thiori yake ya “Modernization theory”anabainisha hatua tano za kufikikia maendeleo, katika hatua ya pili hadi ya tano ameonyesha vitu ambavyo bila elimu jamii haiwezi ikavifikia kama;kukua kwa sayansi na teknolojia ,kutokeza kwa ujasiriliamari kwa sababu ya kuboreshwa kwa miundo mbinu,kukua kwa uzalishaji kwa njia ya viwanda na kutokeza kwa utamaduni mpya ulio bora zaidi ya wa kwanza.
Kwa hali ya kawaidi huweza kukuza sayansi na teknolojia bila kuwepo kwa elimu itakayochochea uwezo wa mtu kufikiria na kuvumbua mambo mapya au huwezi kuwa na viwanda wakati wataalamu wa kuweza kuviendesha hawapo au huwezi kuanzisha kilimo cha kisasa wakati elimu juu ya namna ya kukiendesha haipo.
Mimi ninawaza sana pia na wakati mwingine nashindwa kufikia mwafaka kuwa, inakuwaje mtu aliyesoma vizuri kabisa akiwa na shahada yake nzuri au udaktari lakini leo hii anakubali kuweka mikataba ya miaka hasini au mia? Je hakukaa chini na kulitafakari vizuri jambo hilo? Je hajasoma? Kwasabau inavyoonekana kuwa ,hivi sasa ule ukoloni wa kinguvu umetoweka ila umebaki ukoloni wa kifikra,kuwa mtu anatumia udhaifu wako wa kielimu kukutawala.
Nchi yoyote iliyopanuka na kukua sana kiuchumi iliwekeza kwenye elimu,ingawa Tanzania tuna sela inayosema kuwa "Tanzania ya viwanda”iliyoanzishwa na Raisi wa awamu ya tano,hata hivyo bila elimu ,tutabakia kutamuka tu viwanda kwanza lakini katika kutekeleza sela hii ,itafika wakati tutakwama kwasababu tu watu wenye VYETI FEKI KWENYE TAIFA..
Necta kila siku wanasema na kuwaomba raia kutoa taarifa za watu wanaotumia vyeti visivyo vyao,,,,,,,,, Kumbe nao wanafanya upuzi?????
JIBU NI HAPANA WANAJUA HASARA ZAKE KWA MTU KUWA NA CHETI FEKI.
NOTE: watetezi tuache unyani unyani vyeti ni jambo muhimu sana.