Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi, huwa anaashiria nini?
Wewe unazungumzia nyoka jamii ya rattle i.e. rattle snake. Sio nyoka wote wana uwezo wa kufanya hivyo bali ni jamii hiyo tu! Ile sauti kama chekeche inayotoka mkiani ni kutoka kwenye magamba special aliyonayo. Wataalam hawana jibu la moja kwa moja kuhusu ni kwanini analiza magamba yake lakini wengi wanasema huwa anatoa hiyo sauti kama defensive mechanism ili kuwaonya viumbe wengine wasimkaribie. Ni kama mbwa anavyobweka. Na kuna wanaosema anatoa hiyo sauti ili kuwavutia viumbe wadogo anaokula kama msosi wake..Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi, huwa anaashiria nini?
Mkuu alitikisa na ukatoa huo mlio? Kama ulitoa mlio huenda asiwe chatu bali huyu huyu rattle snake. Hawa nyoka jamii ya rattle wako wa species nyingi na wamefanana na chatu. Hata chakula chao ni panya na vinyama vidogo kama chatu.Sawa mkuu, lakini niliona hata chatu akitikisa mkia wake!
Kweli we TangoMwitu mkuuKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Wanaashiria Kutaka KituKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Kwel we tango mwituKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Asante mkuu nmecheka mpaka nimeona aibuKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Tango mwitu unaniuwa kwa kucheka umewaza nin hiviKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
tangu sakata la madawa lichachamae umeadimika! kulikoni..?Tango mwitu unaniuwa kwa kucheka umewaza nin hivi
Kweli we TangoMwitu mkuu
Na pie kutikisa mkia na kutoa sauti inatakiwa mjue dudu na papuchi za nyoka ziko wapi isije ikawa mnachanganya madesaKweli swali zuri wacha niongeze swali hapo hivi na wanawake wanaotikisa matako ni jamii moja na hao nyoka na wanamaanisha nini?
Hata mie nihisi hivo lakini nilipoiona documentary moja ya tafiti jinsi chatu inavobana windo nilisangaa kuona akitikisa mkia wake wakati kisha mbana mtafiti aliyejivika vazi maalum ikabidi kujiuliza mara mbili mbili kitendo hicho.Wanaashiria Kutaka Kitu
Mkuu, ni kwamba autikisapo mkia huwa unatoa mlio kama chekeche hivi. Je waweza kutupia picha za hiyo jamii ya 'rattle'?Mkuu alitikisa na ukatoa huo mlio? Kama ulitoa mlio huenda asiwe chatu bali huyu huyu rattle snake. Hawa nyoka jamii ya rattle wako wa species nyingi na wamefanana na chatu. Hata chakula chao ni panya na vinyama vidogo kama chatu.