Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, Zikiwa na historia ya zaidi ya miaka 17 tangu zianzishwe Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) ndizo zinaonekana kama Tuzo za "Taifa".Ni Tuzo ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je wewe unatumia mtandao wa intaneti? Una simu janja (smartphone) ambayo unaweza kuitumia kutembelea mitandao ya kijamii? Najua majibu yako ni ndiyo, kwa sababu mpaka umesoma hapa, lazima uwe...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Bila ya Busara ya Rais wetu na Bunge kutunga sheria ya bodi ya mikopo kwa makato ya 15% kutoka kwa wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu bodi hii ingeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo naona vijana wengi wakifurahia kwamba leo ni wikiendi ya hela. Hii ni kwa sababu timu kubwa duniani zinacheza leo, hivyo kama wakibashiri vizuri matokeo ya michezo hiyo wanategemea kupata...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Kumezuka vibaka maeneo ya chuo kikuu Utawala na njia ya kwenda Changanyikeni na Msewe. Wizi huu unahusishwa na bajaji, yaani wezi hao wengine hupanda kama abiria wakishuka hukwapua pochi...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Nipe nikupe wote tufaidi!!!! Mara nyingi unapotoa fedha ili kupata huduma unategemea kwamba huduma unayohitaji itakuwa sawa na kiwango cha pesa uliyotoa au pengine ni bora zaidi kuliko kiwango...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Ualimu ni moja ya taaluma muhimu sana kwenye jamii yoyote. Walimu ndiyo wanaoijenga jamii kutokana na malezi wanayotoa kwa watoto ambao ni kizazi kinachokuja. Pamoja na umuhimu huu mkubwa wa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavyo someka,vita ipi unashauri nitumie kati ya:- •kutumia maneno Vs •Kuingia ulingoni kuzichapa ndondi? kuna mtu kanivuruga hapa nampigia hesabu kali,ila nahofia...
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Watu maarufu, viongozi wa dini wanaohusianisha madai ya raia juu ya shutuma za mkuu wa mkoa wa dar es salaam kuhusu vyeti vya taaluma na ukwamishaji katika kampen yake ya kupambana na madawa ya...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
0 Comments FISI wa Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha wamevamia boma la Wamasai katika kata ya Nainokanoka wilayani humu na kuwala watoto wawili, akiwemo wa miezi tisa na kujeruhi watu wengine...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Sipendi Unafiki na Upuuzi haiwezekani mnasema Wanawake mnatakiwa msikilizwe wakati hapo hapo mmeikubali affirmative action policy ( sera ya upendeleo maalum ) dhidi yenu. Kuna muda huwa nashindwa...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Heshima kwenu wanabodi, Ni matumaini yangu mu buheri wa afya na mnaendelea vyema katika shughuli za kulijenga Taifa. Mara kwa mara nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa nini katika jamii zetu sisi...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Siku hizi nasikia sikia kauli eti kuwa inshu ni utendaji sio vyeti. Basi kama ni hivyo wale watumishi 16,000 waliotumbuliwa kwa kesi ya vyeti feki na sababu nyingine nao warudishwe kazini.sidhan...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Juzi alisikika Raisi Magufuli akiliagiza shirika la Umeme Tanzania TANESCO kulikatia umeme shirika la umeme Zanzibar/ZECO kutokana na kushindwa kulipa deni linalotokana na ZECO kutoridhia uamuzi...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa ITV habari leo saa 2 usiku wanafunzi wa Bariadi sec wamefanikiwa kwa kupambana na polisi kuandamana na kushinikiza mkuu wao wa shule kutohamishwa kituo cha kazi. Haya ni maandamano...
12 Reactions
52 Replies
11K Views
Kwema Wadau, Kipindi hiki kila Mkoa tunasikia Serikali na Polisi wakikamata Pombe iliyoharamishwa na serikali ya Viroba. Kila mahali na kila siku habari ni hizi hizi. Kamata kamata hii inafuatia...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Ma-RAS wawe makini na Wakuu wa Shule wanaowateua sasa baada ya kutumbua #majipu. Binafsi nipongeze utumbuaji wa baadhi ya wakuu wa shule za umma ambao walikufuru katika ubadhilifu wa fedha za...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Msimu wa sikukuu za Chistmass na mwaka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo...
11 Reactions
142 Replies
20K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Wilaya ya Temeke na Mkuranga kuangalia namna ya kupunguza msongamano uliopo katika eneo la Mbagala Majaliwa amesema hayo leo Februari 7,2017...
1 Reactions
67 Replies
14K Views
Nimekuwa mtumishi wa umma, (mwajiriwa serikalini) kwa miaka mi 5 sasa lakini kadri siku zinavyokwenda sina hamu wala moyo wa kuendelea na kazi nawaza tu kujiajili au kuwa katika private org ila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom