Moto wateketeza kituo cha mafuta cha Petro - Azania Tegeta Dar

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari mpasuko nilizozipata muda huu bi kuwa Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kinateketea kwa moto.

Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.

Habari zaidi zitakujia hapa hapa.......
17190564_698257497022138_7395965072579860114_n.jpg
17156126_698257510355470_3975754474789839931_n.jpg
17155943_698257513688803_6666772854927374405_n.jpg
 
Asante kwa taarifa! Fanya mpango wa kapicha basi...
By the way, siku hizi boda boda zinatembea na fire extinguisher, waziazime ili kupambana na moto huo...
 
Ni kweli nimepita hapo mida hii. Moto ni mkubwa sana. Kituo cha mafuta cha Petro. Gari za zimamoto ndio zinaelekea.
 
Hao jamaa wanaoushangaa huo moto hapo cjui kama wanaelewa maana ya moto wa mafuta
 
ITV wameripoti moto unateteketeza kituo cha mafuta huko Tegeta-Dar es salaam.

 
Kituo cha mafuta kilichopo tegeta kinateketea kwa moto chanzo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.
BRU4t-SAGf9.jpg
 
Back
Top Bottom