maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Kwanza nawapa pongezi sana kwa kushinda keshi na hatimaye kurejea kwenye medali ya habari. Sasa tunaomba kuona habari nyingi za UCHAMBUZI wa Kisiasa, kiuchumi na mambo yote ya jamii. Hatutaki habari za udaku tena na nasema yatosha. Lifanyeni gazeti lenu lipendwa zaidi na wasomi kwa kuandika habari zaidi ya uchambuzi ili liwe kimbilio kwa serikali na wananchi.
Pongezeni serikali panapostahili na mkosoe panapostahili bila kuwa na habari za uwongo ili kujipatia umaarufu wa kisiasa. Kwa hali ilivyo sasa ya kiuchumi mjikite zaidi huko, jadili sana ripoti za BOT, Financial institutions mbalimbali, Mambo yakilimo, Madini, Viwanda.
Nalitegemea zaidi gazeti la uchambuzi
Kazi njema na hongereni sana
Msomaji wa gazeti la Mawio