Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni takribani wiki sasa silioni hili gazeti pendwa mtaani. Tafadhali naombeni kujua taarifa zake.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Jana kuna barua ilikuwa humu JF kuhusu Abdi Mruma kufutiwa shahada yake ya sheria baada ya kugundulika alikuwa akighushi alama alizokuwa akipata. Huu mchezo wa kughushi matokeo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kile wanachokiita halmashauri kubuni vyanzo vya mapato, msalala imepitisha na kuamulu kila mtumishi wa kwenye mgahawa na mama lishe na bar med kupima Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kwa kulipia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekua nikifuatilia hali ya uwepo wa dawa katika vituo vya kuolea huduma za afya katika mikoa mbalimballi hapa nchini..nimegundua kua hali kwa sasa inaridhisha..je huko kwenu hali ikoje?tuchangie...
0 Reactions
11 Replies
998 Views
Sijawahi kuwaelewa ITV katika habari za Michezo, yaani ni ubabaishaji mtupu.Habari zao za michezo hazina mvuto kabisa. ITV badilikeni
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Ili kurahisisha ukusanyaji wa kodi ya majengo katika halmashauri nchini, TRA ingeweka mfumo wa kutambua wamiliki wa majengo walioajiriwa ili mishahara yao ikatwe kodi hiyo ya majengo kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rombo tumepata bahati kubwa ya mkuu wa wilaya na katibu tawala wa wilaya Misokoto 70 Lita 60 gongo Rombo bila pombe inawezekana. BANGI NA GONGO LIVE ROMBO MAMSERA. KWA MZEE JAMES.. HA HA HA...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Yaani kuna mfumuko wa bei balaa Sukari robo 850 mafuta lita kupikia 4500 mafuta taa lita 3250 Mchele nzuri kilo 3000 mpaka 3500 Maharage galoni/sadolin moja ni 15000 Unga wa ngano nusu ilikua 700...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Wadau nimepata taharifa kuwa hii kampuni inauza hisa, kiwango cha chini ni hisa 100 kwa 85000... Je kwa uelekeo wa uchumi wetu na kampuni husika hizi hisa zinaweza kuwa na tija? Je kuna uwezekano...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanajamvi mm nimkulima wa matikiti mkoani pwani na las mwananyamala lakini ktk Kazi yangu uwa nakunala kwa mama lishe kilanikienda Kula wadada wana niganda kamaluba wanaomba namba nikiwapa tuu...
0 Reactions
4 Replies
706 Views
UBOVU wa miundombinu ya barabara wakati wa kipindi cha mvua katika Wilaya ya Makete mkoani Njombe, umeelezwa kuwa ni miongoni mwa vitu vinavyochangia huduma za afya kushindwa kufika kwa wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa taarifa nilizopa masaa 6 yaliyopita mkandala rufufu amefariki dunia. Alikuwa anatafsiri movie zs kizungu,kihindi,kichina,kiswahili na kuweka vionjo.vya kihaya. RIP mkandala Rufufu
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Hivi mfano mtu akikutwa anapika majani ya mmea wa bangi anatumia kama mboga ya mchicha ni kosa na je anaweza lewa?
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Jeshi la polisi Tanzania limekuwa ktk wakati mgumu ktk jamii siku za karibuni, lakini kwa kinachofanyika NGORONGORO mnyongeni haki yake mpeni. Wilaya hii miaka nenda rudi imekuwa na matukio mengi...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Siwataji kwa jina ila kwa muktadha tajwa hapa nafikiri mnajijua. Kwenu siku hizi hata sabuni za kuogea ni shida, achilia mbali kuweka hata kanda mbili za kuogea, taulo na karatasi laini za chooni...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Habari wanajamvi. Naomba nianze kwa kukumbusha jambo la msingi ambalo sote tunapaswa kujua nalo ni, "Kuwa karibu na Mwenzi wako ni haki ya Kimsingi kabisa kwa Binadamu yeyote (Conjugal...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Akina Mama wa jamii ya wafugaji wa Barbaig wa maeneo mbalimbali nchini wamesema wamechoshwa na vitendo vya kubakwa hadi kufa, kuibiwa mifugo, kuchomewa mabanda na waume zao kuuawa na kuambiwa...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Wana JF tukiwa weekend hebu tufikirie jinsi ya kuanzisha kiwanda , hata kikiwa kidogo. Tusizoee kuwaachie wenzetu Waasia tu. Na tatizo si mtaji, ni akili. Mswahili anapata pesa ya kutosha anaamua...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu nimekuwa nikiuliza nakosa jibu.Haiwezekani kila kukicha serikali ing'ang'anie kukiboresha chuo cha UDSM kama vile kukijengea mabweni ya kisasa ma lectures wa kutosha lakini wakati huo huo...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
1. Anaizima na kuiweka kando usiku akiwa amelala. Halali na simu akiwa anaperuzi mtandao hadi saa tisa usiku. Usingizi ni jambo linalopewa kipaumbele na watu walio-smart. 2. Ana-turn off...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom