Mfumuko wa bei hivi kulikoni?

Mfumuko wa bei hivi kulikoni?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,225
Reaction score
24,756
Yaani kuna mfumuko wa bei balaa
Sukari robo 850
mafuta lita kupikia 4500
mafuta taa lita 3250
Mchele nzuri kilo 3000 mpaka 3500
Maharage galoni/sadolin moja ni 15000
Unga wa ngano nusu ilikua 700 leo 950
Na bado vinatarajiwa kupanda maradufu mpaka 2020
kweli twafaaaa
Bora ukoloni urudi tu kuna nafuu kuliko maisha haya tuishiyo
Wacha tuisome tu
ila mungu atawapiga tu
 
mungu atawapiga tu hawa watawala
 
daa mkuu sijui twende wapi aisee,kila kitu juu mishahara ile ile kila kukicha bora jana,sasa ikifika wa 7 kweli wote tutarudi killage
 
daa mkuu sijui twende wapi aisee,kila kitu juu mishahara ile ile kila kukicha bora jana,sasa ikifika wa 7 kweli wote tutarudi killage
Bora mishahara ingebaki palepale...

Kuna Li 15% ya bodi ya mikopo
Kuna Li 18% ya kodi

Weka vikorokoro kama LAPF,NHIF kwa walimu CWT na kale Ka 22% ya mkopo uliofanikisha kununua kale Ka kiwanja.,..
 
Nimeuziwa Sukari 1Kg 2600, tena Dsm. Sijui kule Kankoko itakuaje!
 
Yaani kuna mfumuko wa bei balaa
Sukari robo 850
mafuta lita kupikia 4500
mafuta taa lita 3250
Mchele nzuri kilo 3000 mpaka 3500
Maharage galoni/sadolin moja ni 15000
Unga wa ngano nusu ilikua 700 leo 950
Na bado vinatarajiwa kupanda maradufu mpaka 2020
kweli twafaaaa
Bora ukoloni urudi tu kuna nafuu kuliko maisha haya tuishiyo
Wacha tuisome tu
ila mungu atawapiga tu
Sasa Wakulima Mwaka Huu sehemu nyingi wamepata hasara wameshindwa kupanda kwa wakati kutokana na Mvua kutonyesha kwa wakati We unafikiria Bei ya Chakula itakuwaje
 
Yaani kuna mfumuko wa bei balaa
Sukari robo 850
mafuta lita kupikia 4500
mafuta taa lita 3250
Mchele nzuri kilo 3000 mpaka 3500
Maharage galoni/sadolin moja ni 15000
Unga wa ngano nusu ilikua 700 leo 950
Na bado vinatarajiwa kupanda maradufu mpaka 2020
kweli twafaaaa
Bora ukoloni urudi tu kuna nafuu kuliko maisha haya tuishiyo
Wacha tuisome tu
ila mungu atawapiga tu
NBS wametoa taarifa jana tarehe 8 March 2017, wamesema mfumuko wa bei kwa mwezi February 2017 ni asilimia 5.5. Hii ikiwa inamaanisha, kwamba tangu mwezi February 2016 hadi February 2017, WASTANI wa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa hapa nchini ni asilimia 5.5. Kwa maana ingine, kama ulikuwa unanunua pipi shilingi 100 mwezi February 2016, utahitajika kuongeza asilimia 5.5 ya hio shilingia 100 ili kupata pipi ileile.
 
na mataahira yatakwambia uchumi unakua kwa kasi !!
 
mfumuko wa bei umekua mkubwa sana
 
Kwa kweli kwa mfumuko huu wa bei hata furaha inapotea gafla ukienda shoplite unakuta vitu vimepanda bei!
fedha adimu kuipata na ukiipata unakutana na mfumuko wa bei sasa sijui hata wachumi wetu wanafanya nini aisee ili kuweza ku control mfumuko wa bei?
 
Tunanyoosha nchi bila kujua maslahi ya wananchi
 
Bidhaa za kilimo bei huwa zinabadilika from harvest to nxt harvest.Gunia la mahind huwa linapanda mpaka zaidi ya 100%.
Ni kawaida.
 
Back
Top Bottom