Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Sijawahi kuwaelewa ITV katika habari za Michezo, yaani ni ubabaishaji mtupu.Habari zao za michezo hazina mvuto kabisa. ITV badilikeni
ITV wamezidi mkuu...wazinguaji sanaTatizo la hizi local tvs wameweka kipindi cha michezo kama kukamilisha muda tu. ITV wako poor sana kimichezo
hahaha...Esta Sangaigymkana
Mapenzi mengine mabaya sana, Itv inakimbiza kwa lipi!!!! Kama sikosei lazima wewe utakuwa unatokea kibosho.ITV inakimbiza pamoja na hayo
Haya basi azam inakimbizaMapenzi mengine mabaya sana, Itv inakimbiza kwa lipi!!!! Kama sikosei lazima wewe utakuwa unatokea kibosho.
Itv poor sana kwenye michezo
Na wasiseme wana muda mchache, BBC Swahili wana Nusu saa Tu! Na Una enjoy kutazama michezo ambayo Ina dakika 5 -8 Tu!Sijawahi kuwaelewa ITV katika habari za Michezo, yaani ni ubabaishaji mtupu.Habari zao za michezo hazina mvuto kabisa. ITV badilikeni