Habari wakuu
Mwanaume akimpa mwanafunzi mimba anafungwa miaka 30 kama sijakosea.
Ikitokea mwanafunzi kampa mwanafunzi mimba kuna haja ya kufungua kesi ?
Mana ni sawa mbwa kala mbwa mwenzake
Ndugu zangu kaka na dada, mama na baba pia tunatambua kuwa wanafunzi wengi wameshindwa kuendelea na masomo yao kutokana na kukosa uwezo wa kuchangia ufanikishaji wa elimu yao ( ada) kutokana na...
Wananchi wa Rukwa wameiambia serikqli kuwa kqtika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 itabidi serikali ichukue wanyama 'viboko' mitoni ili waipigie kura kwa Kuwait away yamani wanyama hao kuliko...
Kwa kweli Dar imependeza sana hasa mitaa ya kinondoni kuanzia ufipa, togo hadi vijana.Na ukija ilaa kuanzia kitunda hadi lumumba kuko shwari.Niko hapa kwa Aziz Ally mtoni safi kabisa, sasa...
Rasmi.. Dawa ya Ukimwi Yagundulika Nchini Israeli,..!!!
MAMILIONI ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) ulimwenguni, sasa wanaweza kupata tumaini jipya baada ya wanasaynsi wa nchini...
Nawasilisha.
Kuna maeneo ukiyataja tu basi watu hushituka sana kwa umaarufu wake na maeneo mengine yamekuwa na umaarufu wenye maana nzuri ila mengine ni maeneo yenye umaarufu wa maovu.
Katika...
Ni muda sasa tangu zoezi LA kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma lifanyike.Wananchi hawaoni mrejesho wa hilo zoezi.
Majibu yanatakiwa yawe ni watumishi wangapi wamekutwa na vyeti feki na wangapi...
Baraza la Maaskofu Katoliki linahimiza utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote katika kipindi hiki chwa Kwaresima kwa mwaka 2017. - REUTERS
07/03/2017 09:15
Furaha ya Injili na Uumbaji...
Kwa mujibu wa jarida la "The world this week "la Australia, zifuatazo nchi ambazo watu wake wana amani na furaha tele moyoni.
1.Tanzania
2.Uganda
3.Kenya
4.Malawi
5.Zimbabwe
6.Msumbiji
7.Nigeria...
Jamani hii ndiyo ZANZIBAR yetu, Mkizima Mkiwasha kwetu sisi tupo sawa tuu !! Tushazoea Raha na Shida Vilevile, Sisi sio malimbukeni wa kupata, kupata kwetu tulianza zamani hilo mnalijuwa wazi ...
Kwa miaka ya hivi karibuni naona LAPF wakiwapelekesha mno PSPF katika ushindani wa kutoa huduma zenye ufanisi na kwa kasi sana.mfano LAPF walianzisha huduma ziuatazo kwa wanachama wake na...
Wakuu Naona kama sisi ni wepesi sana kiteknolojia na kiuadilifu kwa kuchakachuliwa na kujichakachua wenyewe.
Kuna watu waliwahi kufa vivo vya kutatanisha kama Balali n.k, kuna waliokimbia na...
Ni vyema sasa Serikali ikawaza kuwepo na tuzo pia kuitambua Mikoa na wilaya ambazo watu wake wamefanya kazi kubwa kuinua maendeleo ktk nyanja mbali mbali za maisha bila kuwepo msaada au upendeleo...
Basi nilipokuwa najiandaa kuandika hii mada nikamkumbuka nyoka mwenye makengeza. Nikashangaa kweli nikamkumbuka kitimoto mwenye
Mapembe
Chongo
Mikia miwili
Mguu mmoja
Kwa hakika huyu ni kitimoto...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.
Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri...
Asalam alleykum wana bodi.
Leo kuna jambo napenda tulijadili kama jamii kupitia hapa kwenye jukwaa letu lenye hadhi kitaifa na kimataifa.
Niende kwenye mada, nimekua mtumiaji wa mitandao ya...
Imeanzishwa tabia mpya ya kuvuka mpaka siku za Jmosi na kwenda kula mirungi nchi jirani na baadae kurudi nyumbani.
Wanaoorudi nyumbani huwa hawachukui hata mti mmoja wa mirungi.Je wakipimwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.