Ningependa kujuzwa kuhusu hiki kikao cha kamati kuu CCM, watawala waliopita yaani waliowahi kuwa wenyeviti wa chama wanahudhulia au wao huwa hawahusiki. Maana kama kuna mabadiliko ya katiba ya...
nashindwa kuelewa tatizo ni umbumbu ama nini!!!?
Mtu anatoa uzi wake vizuri kwa nia ya faida ya wanajamvi wote.
Na anapoweka uzi huo uwe wa biashara,ujasiriamali ama chochote kwa ajili ya...
Heshima kwenu wakuu,
Naunga mkono hoja ya Mhe. Kigwangalla ya Kuwakamata Mashoga hasa wale anaojitangaza. Ila nashauri wasiishiwe kukamatwa tu, wawahoji hadi wawataje wateja wao kama ambavyo...
Neno HAPANA lina maana kubwa sana kwenye maisha ya kila mwanadamu chini ya jua. Neno hili hapana kama likitumiwa sehemu sahihi na wakati sahihi basi huwa linaamua mustakabali wa maisha ya mtu...
Hoja vs Matusi.
Watanzania wengi either tumefikisika kimantiki or hatukuwa na chochote kwenye sehemu ya ubongo inayotuwezesha kupokea. Kuhifadhi kuchuja kuptia historia,matukio ,upepo na uwezo...
Kuna makabila ambayo hata wawe wapi wao kunena kwa lugha sio shida.
Mfano;Wajaluo,Wasukuma na Wamasai tena hawa ndio wanaona raha.
Binafsi huwa namkubali sana mtu ambaye anaongea Lugha ya asili...
In a Serious Note Wandugu!!
Nadhani mmeona kichwa cha habari hapo juu.
Hivi ushawahi kukaa peke yako sehemu tulivu na kuanza kutafakari yaliyotokea na yanayoendelea kutokea kwenye nchi yetu ya...
Wahenga husema " ukiona umerusha jiwe gizani halafu ukasikia Mtu anagumia maumivu jua limeshampata hilo ".
Wahenga hao hao tena wakaenda mbele za kusema " siku zote ukiona Kuku anatapatapa basi...
Tulipovuka, tukasema usiku na mchana, tukakashifu, tukamchafua, akatupuuza, akasafiri, anatusikilizia huko alipo na sasa wote tumenyamazishwa huku upepo ukielekea kupoa na atarudi kuendelea na...
JF ya zamani habari za Sofia Simba et al zingelikuwa zime leak. Tetesi zingelitoka zamani tukawa tunasubiri siku! Siyo hivyo kwa JF ya sasa! Make JF great again!
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake, wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa kwa kuogelea...
Ni Kama movie au ndoto za alinacha, amini usiamini Tanzania gov imekubali kuwachukua wakimbizi toka syria na yemen!
Sisemi wafukuzwe ila nina shaka juu ya uwepo wao hapa hasa ukizingatia nchi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye Akiwaongoza wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye Mbio za Tulia Marathoni zilizofanyika jijini Mbeya akiwa ameambatana na aibu Spika wa Bunge...
Wapendwa naomba kuwauliza, vipi ile course ya nursing ya mwaka mmoja bado ipo?
Kama ipo application zake ni lini?
Pia vyuo vipi vinatoa hyo course?
Na garama ya kusoma ni sh. Ngapi?
Nina...
Bus la Allys limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Lori la Azam maeneo ya Misungwi. Lilikuwa likitokea Mwanza Tabora. Hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.
ZANZIBAR NI YA MWANZO
katika mwaka 1884 Sultan wa zanzibar Sayyid said walitiliana mkataba wa kibiashara na Marekani
wakati huo Zanzibar ilikuwa ni Nchi ya mwanzo kutumia Nishati ya umemr katika...
WAKATI nchi ikiwa imelipuka na kumpigia kelele za kutaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, aoneshe cheti halisi cha kidato cha nne na kama hana ajiuzulu, wapinzani wake hao wameibuka na kombora namba...
Mfanyabiashara mkubwa wa vinywaji kwa jumla pia na rejareja mjini Dodoma ndugu Wense almaarufu Mselia amejipiga risasi kwa kile kinachoaminiwa ni ghadhabu ya shehena yake ya viroba iliyokamatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.